Kutathmini wazo la biashara kwa kuangalia ushindani na ukubwa wa soko.

Endelea kuchunguza uwezo wa kutengeneza kipato wa wazo lako la biashara kwa kuchanganua washindani wako. Washindani wako wa baadae ni vyanzo vya maelezo ya bure juu ya makosa ya kawaida ya kibiashara pamoja na sekta yako kwa ujumla.