Jinsi ya kutathmini wazo la biashara kwa kuangalia fursa kimasoko.

Katika somo hili tutakufundisha jinsi ya kukusanya na kuandaa maelezo yatakayokusaidia kuwaelewa watu wanaoweza kuwa wateja wako wa baadae. Usijiamini kiasi kwamba huoni mapungufu ya wazo lako la biashara. Ni muhimu kuchunguza udhaifu na ubora wa wazo lako la biashara.