Jinsi ya kutathmini wazo lako la biashara: Wazo lako litakupa faida?

Hata kama wateja wako wanapenda bidhaa au huduma yako, haimanishi kwamba biashara yako itafanikiwa. Hakikisha unafahamu kama wazo lako la biashara litakuingizia kipato kitakachozidi hela uliyowekeza. Tutakusaidia kupiga mahesabu upate break even point yako na utathmini kama utaweza kuifikia, pamoja na jinsi ya kuzingatia njia za kupunguza gharama au kuongeza mauzo ili ufikie break even point kwa kutumia maelezo uliyoyapata kwenye utafiti wa soko.