Jinsi ya kutathmini wazo lako la biashara: Vitu vya kuzingatia.

Sasa ni muda muafaka wa kuanza kutekeleza vyote vilivyoandika kuhusiana na wazo la biashara lako. Tazama video ya Noa Ubongo inayoongelea hatua unazotakiwa kuchukua ili ulifanyie kazi wazo lako la biashara! Baada ya hapo, tembelea tovuti ya FSDT nayoongelea masuala ya ujasiriamali ili upate mawazo na msukumo/mwamko zaidi!