FSDT/Noa Ubongo: Jinsi ya Kuanzisha Biashara, Somo la 9

Jinsi ya kubadilisha wazo kuwa biashara kamili kwa kufahamu mpango wa fedha. Kwa kadiri unavyoelewa mahesabu ya biashara yako ndivyo unavyoongeza uwezekano wa biashara yako kufanikiwa. Kuandaa matarajio ya mapato na makadirio ya mzunguko wa fedha kwa uhakika ni muhimu...

FSDT/Noa Ubongo: Jinsi ya Kuanzisha Biashara, Somo la 8

Jinsi ya kubadili wazo kuwa biashara: Kufahamu unahitaji mtaji wa kiasi gani! Namba na hisabati huwa zinatisha, lakini ukitaka kuwa mjasiriamali mwenye mafanikio, ni lazima uondoe hofu ya mahesabu. Kwa sababu, biashara inahusu pesa na pesa inahitaji kupigiwa mahesabu...