FSDT/Noa Ubongo: Jinsi ya Kuanzisha Biashara, Somo la 8

Jinsi ya kubadili wazo kuwa biashara: Kufahamu unahitaji mtaji wa kiasi gani! Namba na hisabati huwa zinatisha, lakini ukitaka kuwa mjasiriamali mwenye mafanikio, ni lazima uondoe hofu ya mahesabu. Kwa sababu, biashara inahusu pesa na pesa inahitaji kupigiwa mahesabu...

FSDT/Noa Ubongo: Jinsi ya Kuanzisha Biashara, Somo la 6

Jinsi ya kutathmini wazo lako la biashara: Wazo lako litakupa faida? Hata kama wateja wako wanapenda bidhaa au huduma yako, haimanishi kwamba biashara yako itafanikiwa. Hakikisha unafahamu kama wazo lako la biashara litakuingizia kipato kitakachozidi hela uliyowekeza....