FSDT/Noa Ubongo: Jinsi ya Kuanzisha Biashara, Somo la 6

Jinsi ya kutathmini wazo lako la biashara: Wazo lako litakupa faida? Hata kama wateja wako wanapenda bidhaa au huduma yako, haimanishi kwamba biashara yako itafanikiwa. Hakikisha unafahamu kama wazo lako la biashara litakuingizia kipato kitakachozidi hela uliyowekeza....