Noa Ubongo/FSDT: Jinsi ya Kuanzisha Biashara, Somo la 1

Kuanzisha Biashara Somo la 1: Jinsi ya kujenga/kupata wazo la biashara linalokufaa kwa kuchunguza rasilimali zako za ndani. Wajasiriamali hodari huwa wanaanza na mawazo mazuri. Mafanikio ya kibiashara sio bahati, yanahitaji uvumulivu na bidii. Mchakato wa kutengeneza...