Ongeza ujuzi wako!

Ukuaji wa jinsi ya kufikiria ni namna ya kuangalia dunia na mazingira yako kwa namna ya kuona fursa. Kuwa na ukuaji katika kufikiri ni jinsi ya kuchukua fursa mbalimbali. Watu wengine wana ukuaji katika namna ya kufikiri ila kwa watu wengine inabidi wafanye mazoezi...

Jinsi ya Kuandika CV (kama huna ujuzi wa kazi)

Kati ya vitu vigumu sana ni pamoja na kupata ajira iwe kwenye kampuni, taasisi, au hata kuajiriwa na mtu binafsi. Kutafuta kazi ni shughuli pevu sana. Fungua kurasa za matangazo ya kazi kwenye magazeti au majarida na utaona ninachokusudia! Kila kazi inahitaji uzoefu!...

Noa Ubongo Sehemu ya 3: Jinsi ya kuandika CV

Somo letu linalofuata ni la “Jinsi ya Kuandika CV safi!” Kama bado hujaangalia somo letu lililopita la Jinsi ya Kutafuta Kazi, hakikisha unaziangalia zote kwa mfuatilio na utakuwa tayari kuanza kutafuta kazi!...